Numbers 33:50-52

50 aKatika tambarare za Moabu kando ya Yordani kuvukia Yeriko, Bwana akamwambia Musa, 51 b“Sema na Waisraeli uwaambie: ‘Mtakapovuka Mto Yordani kuingia Kanaani, 52 cwafukuzeni wakazi wote wa nchi iliyo mbele yenu. Haribuni sanamu zao zote za kuchongwa, na sanamu zilizotengenezwa kwa kuyeyusha chuma, na kupabomoa mahali pao pa ibada.
Copyright information for SwhKC